Mtaala ni mwongozo mpana unaoweka viwango vya utoaji elimu kwa
kuzingatia maeneo yafuatayo:- maudhui na ujuzi watakaojifunza wanafunzi
yaani maarifa stadi na mwelekeo, njia za kufundishia na kujifunzia
zatakazotumika katika utekelezaji wa mtaala vifaa vya kufundishia na
kujifunzia vinavyohitajika sifa za kitaaluma na kitaalamu za mwalimu
atakayeuwezesha mtaala miundo mbinu wezeshi katika utekelezaji wa
mitaala muda utakaotumika katika ufundishaji na ujifunzaji, upimaji na
ufwatiliaji na tathimini ya mitaala.
Wnafunzi wa shule ya msingi sokoni 1 wakijaribu kujifunza katika mfumo wakutumia tablet katika masomo yao ya darasani.