Katika kuazimisha siku ya ukimwi duniani shirika lisilo la kiserikari
RUPA TANZANIA limetembelea shule Mbalamaziwa iliyopo mkoa wa Iringa
wilaya ya Mafinga, na kuweza kuongea na vijana wasomao hapo juu ya swala
zima la ugonjwa wa ukimwi pamoja athari za ndoa na mimba za utotoni hii
yote ni kuhakisha kwamba tatizo hili linapungua kwa kasi na kama siyo
kuisha kabisa, inasemekana Iringa ni moja ya mikoa inayokumbwa na vijana
wengi kutomaliza shule hasa watoto wakike kwa kukumbwa na athari za
miba na ndoa za utotoni.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mbalamaziwa wakijadili mambo
yanayowakumba wanafunzi hasa wasichana katika swala zima la mimba za
mashuleni
No comments:
Post a Comment