Mjumbe wa Halmashauri ya NEC ya CCM Mama SALAMA KIKWETE akisalimiana na Mkuu wa shule wa Mkonge Mkoani Lindi
WANAFUNZI wametakiwa kujiepusha na Vitendo
vitakavyosababisha kupata Maambukizi ya Virus vya UKIMWI-VVU na Mimba za
Utotoni,hivyo kuwafanya wakatize masomo na kutotimiza ndoto za maisha
yao.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa-NEC ya
CCM,Mama SALMA KIKWETE, alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Mkonge mkoani Lindi.
Mama SALMA KIKWETE,amesema kuna baadhi ya Wanafunzi wanajiingiza
katika Mapenzi kabla ya wakati na kufanya hivyo wanakumbana na Mimba za
Utotoni na UKIMWI.
Wnafunzi wa shule ya sekendari Mkonge Mkoani Lindi
No comments:
Post a Comment