Tuesday, 1 December 2015

TEKNOHAMA KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Mtaala ni mwongozo mpana unaoweka viwango vya utoaji elimu kwa kuzingatia maeneo yafuatayo:- maudhui na ujuzi watakaojifunza wanafunzi yaani maarifa stadi na mwelekeo, njia za kufundishia na kujifunzia zatakazotumika katika utekelezaji wa mtaala vifaa vya kufundishia  na kujifunzia vinavyohitajika sifa za kitaaluma na kitaalamu za mwalimu atakayeuwezesha mtaala miundo mbinu wezeshi katika utekelezaji wa mitaala muda utakaotumika katika ufundishaji na ujifunzaji, upimaji na ufwatiliaji na tathimini ya mitaala.

Wnafunzi wa shule ya msingi sokoni 1 wakijaribu kujifunza katika mfumo wakutumia tablet katika masomo yao ya darasani.


No comments:

Post a Comment