Thursday, 19 March 2015

SIKU ZA HATARI ZA KUSHIKA MIMBA NI ZIPI?















 Period


femalereproductiondiagram

Nimeamua kutoa mada hii baada ya kugundua kuwa ongezeko la matukio ya utoaji mimba na kutupa watoto  na hata kuwa na watoto wa mitaani yanasababishwa  zaidi na mimba ambazo hazikutarajiwa.
Mimba nyingine zinaingia kwa sababu mzazi kutokujua siku yake ya hatari ili kujikinga asipate.
Ni muhimu sana kwa mwanamke kujua mzunguko wake wa hedhi, mizunguko hiyo iko katika makundi makuu matatu ambayo: Mzunguko mfupi wa siku 25 kurudi nyuma, mzunguko wa kawaida wa siku 28 na mzunguko mrefu wa siku30-35.
Wanawake wengi mzunguko wao  huwa  ni wa kawaida yaani siku 28 hawa ndiyo leo nitawaongelea zaidi.
Ili kutambua mzunguko wako ni wa siku ngapi unatakiwa kuhesabu kuanzia siku ya kwanza kuona damu ya hedhi hadi siku ya kwanza ya kuona damu ya hedhi ya mwezi unaofuata. Kwa mfano ukiona damu ya hedhi tarehe 15 Oktoba  basi hiyo ndiyo siku yako ya kwanza.
Kwa mtu mwenye mzunguko huo wa siku 28 siku zake za hatari za kuweza kushika mimba ni siku ya kumi na nne 14, hivyo kuanzia siku ya 12 hadi siku ya 16 kama atafanya ngono bila kinga anaweza kushika mimba.
Najua mtu anaweza akajiuliza kama siku ya hatari ni ya 14 sasa kwa nini akifanya ngono siku ya 12 anaweza akapata mimba?Hii ni kwa sababu mbegu za kiume zina uwezo wa kudumu kwa masaa 24 hadi
48 baada ya kujamiiana hivyo kama mwanamke atafanya ngono tarehe 12 na yai likatoka tarehe14 bado litakuta zile mbegu zikiwa hai hivyo zitarutubishwa.

23 comments:

  1. Kwaiyo siku ambozo sio za Hatari ni kuanzia siku ya ngapi adi ngapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.

      Mume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
      Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
      Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.

      Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
      Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
      Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
      Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
      Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
      Nitaendelea kushukuru milele.
      Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
      . Usaidizi wa kurejesha ndoa
      . Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
      . Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
      . Mwongozo na ulinzi wa kiroho
      Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159. dawnacuna314@gmail.com

      Delete
  2. Mbona hujagusia hata kidog kwa wenye mzunguko mrefu jaman

    ReplyDelete
  3. Mimi nimefany ngono taree 12 mwezi wa 12 taree 13 yai likapevuk je hapo mimb itatungwa?

    ReplyDelete
  4. Mm mzunguko wangu unabadilika ni siku 25,26,27 nitawezaje kujua siku yangu ya hatari coz inatokea tu mwezi huu 25 labda mwezi ujao ikarudia 25 mwzi unaofuata zikawa 27 unaofuata 26 yaani hakuna mpangilio maarumu

    ReplyDelete
  5. Me nimeingia period tarehe 19 siku yangu ya hatari ni tarehe ngapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anza kuesabu kwanza tar 19 sku tano mbele itakua kwny sku zako za hedhi Yan inaisha tar 23 baad ya hapo siku Tano mbele inakua free so kuanzia tar 24-28, alaf sku 10 mbele unakua kwny sku za hatar ukifanya bila Kinga utapata ujauzito ,kwaiy baadae ya kuesabu sku 10, sku ya 10 itadondokea tar 7, baadae ya hapo sku zlzobakia unakua free paka utakapoona mzunguko wako tena, kalibu nikuhudumie sku hzo ambaz uko free

      Delete
    2. Mimi nimeingia period tar 25 nataka kujua siku ya hatar

      Delete
  6. Mimi nimeingia period tar 30 nataka kujua siku ya hatar

    ReplyDelete
  7. Je nimeingia 18_21 mwez wa tatu siku zang za hatar Ni zp

    ReplyDelete
  8. Hy bhn asante mkuu

    ReplyDelete
  9. Siku za hatarii znakuweje hzoo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwakuwa mbegu za kiume zinadumu masaa 24-72 kwa maana ya siku tatu hivyo zinawezakuwepo yai likazikuta kama ilivyo pia zinaweza kuzidi siku 3 baada ya yai kupevuka

      Delete
    2. Je ikiwa mimi ninaingia hedhi siku 15 je naweza kupata mimba siku gani

      Delete
  10. Mimi nmeingia hedhi tarehe 10 nmemaliza tarehe 14 Ni siku zipi?
    naweza nikabeba mimba

    ReplyDelete
  11. Mm nimeingia hedhi tareh 19 natoka tarehe 23 zipi nisiku zahatari kubeba mimba

    ReplyDelete
  12. Samaan naomba majibu mtu ukiwa period taree 6 na umemaliza taree 13 mkakutana na mtu taree 18 mpaka taree 22 jee unaweza kupata mimba maana inanichanganya

    ReplyDelete
  13. Sikuweza kushika mimba kwa miaka 10 kwenye ndoa yangu, nilikuwa kwenye ukingo wa kupoteza ndoa yangu kwa sababu mume wangu alihitaji mtoto wa kumzaa, mwenzangu wa kazi alinielekeza kwa Dr Dawn, Alikubali kunifanyia tambiko la ujauzito, nilifuata maagizo aliyonipa, na pia mshangao wangu, nilipata ujauzito ndani ya wiki 6, mimi na mume wangu tukafanya mtihani na matokeo yakaonyesha mapacha, Lakini sasa nina wavulana wangu 2 warembo, zote namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kumtumia Dk Dawn kusaidia ndoa yangu,
    Ninampendekeza Dr Dawn, kwa yeyote aliye na masuala ya uhusiano/ndoa au utasa, Dr Dawn hakika atakusaidia, wasiliana naye kwa Whatsapp: +2349046229159

    ReplyDelete
  14. Kutoka Bila Matumaini Hadi Kufurahi Kupita Kiasi - Dk. Dawn Aliwezesha Iwezekane!”

    "Nilipopoteza kabisa tumaini la kuwa mama, ulimwengu wangu ulijihisi tupu. Nilijaribu kila kitu, lakini hakuna kitu kilichofanya kazi, na nilivunjika moyo. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika. Kwa uchawi wake wenye nguvu wa ujauzito na mwongozo, ndoto zangu zilitimia—sasa nimebarikiwa kupata watoto wawili warembo! Leo, mimi na mume wangu ndio wenzi wenye furaha zaidi ulimwenguni. Maneno hayawezi kueleza jinsi ninavyoshukuru kwa kurudia maisha yetu ya Dawn."

    Wasiliana na tabia yake ya ujauzito,
    Tahajia ya mapenzi/ tahajia ya kufunga/ tahajia ya kuokoa/
    Spell kuponya magonjwa na magonjwa na zaidi:


    Nambari ya WhatsApp: +2349046229159

    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete
  15. Nimeingia period mwezi 12 date 30kwa hiyo siku za hatari nizipi

    ReplyDelete
  16. Nimefanya kuanzia siku ya 12 13 na 14 mzunguko ni siku 28 nitapata mtoto gani?

    ReplyDelete